Tume ya ushindani wa kibiashara Tanzania(Fcc) imejibu shutuma zilizotolewa na Bilionea Mohamed Dewji anayetaka kuwekeza katika klabu ya Simba sc. Fcc imekanusha taarifa za kuchelewesha mchakato wa kupitia taarifa mbalimbali …
Tag:
uwekezaji
-
-
Mfanyabiashara nguli na maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz amesema yupo tayari kuidhamini na kuendelea kuisaidia Yanga kwa maana ndio klabu anayoishabikia toka utotoni japo hayupo tayari kuwa mfadhili au mwekezaji …