Mbeya City imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa leo Octoba 23,wa ligi kuu bara uliochezwa uwanja wa Kaitaba. Kwa mara ya kwanza Mbeya …
vpl
-
-
Cedric Kaze yuko njiani kutua Tanzania leo Octoba 15,kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya ndani ya kikosi hicho cha Yanga Sc. Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amethibitisha …
-
Coastal Union ambao watamenyana leo Octoba,3 na Yanga Sc uwanja wa Mkapa jijini Dar-es-salaam wamejihakikishia kuchukua pointi tatu muhimu leo katika mchuano huo utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku. Kocha …
-
Mtibwa Sugar imekuwa ikipata matokeo mazuri pindi inapokuwa nyumbani dhidi ya Yanga Sc ambapo katika mechi tano za mwisho walizokutana kwenye uwanja huo imeibuka na ushindi mara mbili, sare mara …
-
Mshambuliaji mpya wa Yanga Sc,Waziri Junior amechaguliwa kuwa mchezaji bora mwezi Julai wa ligi kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2019/20 ndani ya klabu yake aliyokuwa akiitumikia hapo awali ya …
-
Fred Felix Minziro ambaye anainoa Mbao Fc ya Mwanza amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Julai kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20 akiwashinda Amri Said wa Mbeya …
-
Nyota wa kikosi cha Simba,Clautos Chama amekabidhiwa leo tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya Kombe la Shirikisho. Simba imetwaa taji mbele ya Namungo FC kwa kuibuka na ushindi wa …
-
Kesho katika viwanja saba tofauti ligi kuu bara itaendelea huku yanga ikiwa mbioni kuzisaka pointi tatu mbele ya Mwadui Fc Uwanja wa Taifa Jijini Dar-es-salaam. Yanga Sc wanashika nafasi ya …
-
Timu ya Kmc imeifunga timu ya Biashara united kutoka mkoani Mara katika mchezo uliofanyika jana mchana ambapo timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wageni. Kmc ilijipatia …
-
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na bodi ya ligi kuu Tanzania bara(TPLB) kwenda kwa vyombo vya habari kuhusu kufungiwa kwa baadhi ya viwanja.