Rais wa shirikisho la soka nchini Wallace Karia amelalamika kuhusu ubora na ufanisi wa waamuzi katika mechi za ligi kuu nchini hususani zile zinazoihusisha Simba sc na Yanga sc kuwa …
Tag:
waamuzi
-
-
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza majina sita ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa fainali kombe la Azam (ASFC) utakaofanyika Jumapili August 2,2020 mkoani Sumbawanga Uwanja wa Nelson Mandela kati ya …
-
Waamuzi Elly Sasii, Sudi Lila na Mbaraka Haule wanafungiwa miezi mitatu kwa kosa la kutokuumudu mchezo uliochezwa Juni 21, 2020 katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Mechi hiyo …