Westham United ya nchini England leo Octoba 15,imetangaza kumfungia kwa miaka mitatu kuingia uwanjani shabiki wake,Bradley Thumwood kwa kosa la kumbagua Mohammed Salah wa liverpool katika mchezo uliofanyika February 2019 …
Tag:
West ham united
-
-
Kocha mkuu wa Tottenhum Hotspurs,Jose Mourinho amekiri kutokuwa na uhakika kuhusu wakati ambapo sajili mpya Gareth Bale atarejea uwanjani kusakata soka, lakini amesema anatamani mno kumpa nafasi nyota huyo nafasi …
-
Liverpool imebaki nafasi ya kwanza ikiwa imewapiga West Ham United mabao 2-0 katika michuano ya ligi kuu England siku ya jana uwanja wa London Stadium wakisimamiwa na refa kutoka England …