Bondia Deontay Wilder ametemana na kocha wake Mark Breland baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Muingereza Tyson Fury siku ya Jumapili Asubuhi. Bondia huyo alipigwa kwa TKO raundi ya …
Tag:
wilder
-
-
Bondia Mmarekani, Deontay Wilder, amesema uzito wa nguo alizovaa ndio sababu kubwa ya yeye kupoteza pambano lake dhidi ya bondia, Tyson Fury. Bondia huyo mwenye vituko, alivaa nguo zilizotengenezwa na …
-
Bondia Tyson Furry amefanikiwa kumpiga bondia Deontay Wilder na kuchukua ubingwa wa dunia wa uzito wa juu katika pambano lililofanyika leo Las Vegas Marekani. Pambano hilo lililotikisa dunia katika mizani …