Beki wa kulia ambaye pia ni raia wa Ureno,Nelson Semedo ametua Wolverhampton Wanderers kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Barcelona. Kocha wa Wolves,Nuno Espirito Santo amefurahi kutua kwa beki huyo …
wolves
-
-
Wolves, Newcastle na Everton ni miongoni mwa vikosi zinavyowania saini ya beki wa Arsenal Maitland-Niles ambaye anatazamiwa kuondoka Emirates mwishoni mwa Agosti, 2020. Beki huyo ambaye pia ni mzaliwa wa Uingereza …
-
Lazio ina mpango wa kuimarisha kikosi msimu ujao kwa kumnyakua staika wa Wolverhampton Wanders,Diogo Jota ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Ureno . Nyota huyo anaweza kujiunga na klabu hiyo …
-
Timu inayoongoza kwenye ligi kuu England ikiwa nafasi ya kwanza Liverpool imewapa kichapo cha mabao 2-1 timu ya Wolves katika mchezo wa jana uwanja wa Molineux Stadium chini ya refa …
-
Mchezaji wa Manchester United Juan Mata ameiongoza timu hiyo kuwafunga bao 1-0 Wolves katika mchezo uliochezwa hapo Januari 15 katika uwanja wa Old Trafford. Bao hilo lilifungwa dakika ya 67 …
-
Manchester United wamefeli kulenga lango katika mchezo wa ligi ya ndani kwa mara ya kwanza tangu Januari 2015 . wageni hao walishindwa kuweka rekodi ya bao katika mchezo uliofanyika katika …
-
Meneja wa Wolves Nuno Espirito Santo ndiye meneja aliye mstari wa mbele kuchukua nafasi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal (Mail) Wahudumu wa Arsenal wanaamini kuwa kocha Unai Emery …
-
Winga wa Wolves Adamu Traore ameomba kujitoa kwenye kikosi cha Uhispania baada ya kupata jeraha siku moja tu baada ya jina lake kuitwa kikosi cha Uhispania mnamo Jumamosi. “Kwa bahati …
-
Adama Traore ameitwa kwenye kikosi cha Hispania kinachojiandaa na mechi za kufuzu Euro2020 ili kuziba pengo la winga Rodrigo Moreno aliyepata majeraha. Jumanne iliripotiwa winga wa Wolves, Adama Traore amechagua …
-
Timu ya manchester united inatarajiwa kuvaana na Wolverhampton Wonders katika mechi ya ligi kuu ya soka nchini Uingereza ikiwa ni mchezo wa raundi ya pili wa ligi hiyo yenye wafuasi …