Mazoezi ya Yanga Sc yameendelea leo katika Uwanja wa shule ya sheria ambapo Bernard Morison ni moja ya wachezaji ambao wamejiunga na timu leo hii baada ya kukosekana kwa siku …
Yanga
-
-
Kiungo wa Simba Clatous Chama leo Jumatatu asubuhi Juni 8, ameanza mazoezi ya peke yake chini ya uangalizi wa Kocha wa Viungo, Adel Zrane baada ya kuchelewa kuanza na wenzake …
-
Kocha wa zamani wa Klabu ya Yanga Mkongo Mwiny Zahera amekataa kazi ya kuifundisha klabu ya Township Roller ya nchini Botswana baada ya kutofahamu kuzungumza lugha za kiingereza. Zahera ambaye …
-
Kwa mujibu wa bosi anayeshughulikia masuala ya usajili ndani ya klabu ya Yanga Eng.Hersi Said bado siku kadhaa tu watamtambulisha beki kisiki kutoka klabu ya Coastal Union Bakari Nondo Mwamnyeto …
-
Uongozi wa klabu ya KMC ya Dar kupitia kwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo Kheri Nassoro umesema utamchukulia hatua za kinidhamu Golikipa wa Klabu hiyo Jonathan Nahimana Raia wa Burundi kutokana …
-
Mwendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara utaanza kwa Yanga na timu nyingine zenye mechi za viporo na kwa upande wa Robo fainali ya FA itachezwa punde baada ya mechi za …
-
Mshambuliaji wa zamani wa Kagera Sugar,Kassim Khamis aliyechomoa dili la kujiunga na vigogo wa Kariakoo Simba na Yanga anapata tabu sana ndani ya Azam FC baada ya kuwekwa benchi kwa …
-
Mshambuliaji wa zamani wa klabu za Simba na Yanga,Amiss Tambwe amefunguka kuwa bado ana ndoto za kurejea Yanga kwa sababu ilimfanyia makubwa katika historia yake ya soka, hivyo itakuwa busara na …
-
Nahodha msaidizi na beki wa kulia wa klabu ya Yanga ,Juma Abdul ameupongeza uongozi wa timu hiyo katika harakati zake za kutaka kuwasajili Relliants Lusajo ambaye ni mshambuliaji wa Namungo …
-
Raia wa Ghana ambaye pia ni mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Rayon Sports ya Rwanda,Michael Sarpong anasemekana kutua ndani ya klabu ya Yanga baada ya kusitishiwa mkataba wake na …