Kiungo anayecheza ndani ya klabu ya Yanga ,Haruna Niyonzima ameamua kuongeza mke wa pili ikiwa ni mwezi wa Ramadhani. Niyonzima ameamua kufunga ndooa hiyo kimya kimya na mwanadada aitwaiye Cassandra …
Yanga
-
-
Licha ya kuzagaa kwa taarifa za klabu ya Yanga kumhitaji kiungo wa Simba sc Cletous Chama,Kocha wa klabu ya Yanga sc Luc Eymael amedai hizo ni bla bla za usajili …
-
Klabu ya Simba sc imemshtaki makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga David Mwkalebela kufuatia kauli yake aliyoitoa kuwa klabu ya Yanga imeanza mazungumzo na mchezaji wa Simba Cletous Chama. Mwakalebela …
-
Straika wa klabu ya Fc Lupopo ya nchini Congo Mpiana Mozizi anazihenyesha klabu za Simba na Yanga ambazo zinachuana vikali kumuwania staa huyo mkali wa nyavu. Mozizi mwenye mabao 11 …
-
Imezoeleka kwa vilabu vya hapa nchini, havisajili wachezaji wenye mikataba, mara nyingi husubiri mikataba ifike mwisho kisha kusajili wachezaji walio huru Hata hivyo Yanga kupitia wadhamini/wahisani wao GSM, usajili wa …
-
Aliyewahi kuwa msemaji wa klabu ya Simba sc Asha Muhaji amefariki dunia leo kwa ugonjwa wa homa ya mapafu baada ya kulazwa kwa muda mrefu katika hospitali ya Hindu Mandal …
-
Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya Gsm wamejitoa kuisaidia timu katika baadhi ya vitu ambavyo havimo katika mkataba kama kusaidia usajili pamoja na kulipa mishahara ya wachezaji na makocha …
-
Kiungo mshambuliaji wa Yanga,Bernard Morrison amerejesha leo mkataba wake kwa mabosi wake ambao ni kampuni ya GSM kupitia kwa Mkurugenzi wa uwekezaji Hersi Said baada ya kumalizana nao muda mrefu …
-
Ligi kuu Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza, ligi ya wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko wa watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali. Hii ni kutokana na kuisaidia …
-
Unamkumbuka yule mreno wa Mabadiliko alikuja nchini kuja kuandaa mchakato mzima wa klabu hiyo kuelekea hatua ya mabadiliko ya umiliki kwenda mfumo wa hisa? Basi habari ikufikie kokote ulipo kwamba …