Wachezaji Mohamed Issa Banka na Tariq Seif Kiakala wameanza katika kikosi cha kwanza cha Timu ya Yanga kitakachowavaa Prisons mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kikosi hicho kilichtolewa na mitandao …
Yanga
-
-
Mwamuzi Abubakar Mturo amefungiwa miezi mitatu(3) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo katika mechi iliyochezwa Februari 05,2020 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia …
-
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Tanzania Stiven Mguto ameomba radhi wadau wa soka kwa kitendo cha kuisahau timu ya Yanga katika upangaji ratiba wa michezo ya ligi kuu wiki hii. …
-
Kipa kinda wa klabu ya Yanga Ramadhani Kabwili amefunguka kuhusu kuzongwa na watu waliojitambulisha kuwa ni viongozi wa Simba sc kutaka kumhonga gari ili asicheze pambano la watani wa jadi …
-
Upo uwezekano mkubwa Yanga itamuuza mshambuliaji wake Ditram Nchimbi kwa klabu moja inayoshiriki ligi kuu ya Misri Timu hiyo ambayo kwa sasa haitawekwa wazi, iko kwenye mazungumzo na uongozi wa …
-
Mshambuliaji mpya wa Yanga aliye sajiliwa dakika za mwisho kabla ya usajili wa dirisha dogo kufungwa ,Benard Morrinson raia wa Ghana amewaondoa hofu wanayanga kwa kuwaambia tatizo limeisha kwa upande …
-
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Juma Balinya amesajiliwa na timu ya Gor Mahia, mabingwa wa ligi kuu ya Kenya. Gor Mahia imemsajili Balinya baada ya kujiridhisha na uwezo wake hasa baada …
-
Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema kikosi chake kiko timamu kwa asilimia 100 kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba Mchezo huo utapigwa leo saa 11 jioni …
-
Kampuni ya Gsm imefanikiwa kumrejesha beki wa klabu ya Yanga sc Lamine Moro baada ya kusaidia mazungumzo ya kumaliza matatizo baina ya mchezaji huyo na klabu hiyo. Lamine aliondoka Jangwani …
-
Inaelezwa kuwa uongozi wa Yanga tayari umemalizana na straika Tariq Seif kutoka Dekernes FC ya Misri amba aye pia aliwahi kkuifunga timu hiyo wakati akiichezea Biashara United ya Mara. Mabosi …