Timu ya soka ya Yanga imeshindwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kmc baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika …
Yanga
-
-
Mabao ya Patrick Sibomana na David Molinga yalitosha kuipa ushindi Yanga katika mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Alliance uliofanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba Mwanza. Mabao ya dakika …
-
Dirisha dogo la usajili kwa msimu huu wa 2019/20 litafunguliwa Disemba 16 2019 na kufungwa January 15 2019 Ilizoeleka dirisha hilo kufunguliwa Novemba 15 na kufungwa Disemba 15 lakini TFF …
-
Inaelezwa kua uongozi wa Yanga unaweza kutemana na mastaa kadhaa wa kimataifa baada ya kushindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kutokana na kushindwa kuonyesha viwango vizuri katika mechi …
-
Staa wa kinyarwanda Patrick Sibomana ameibuka shujaa baada ya kuokoa klabu ya Yanga na kuihakikishia kuomdoka na pointi tau katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda sijaona …
-
Wakati dirisha la usajili likifunguliwa hivi karibuni baadhi ya masta watapishana katika milango ya kuingia katika klabu ya soka ya Yanga baada ya timu hiyo kuanza kuwafatilia baadhi ya mastaa …
-
Kufuatia kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Pyramids Fc kocha wa timu ya Yanga sc Mwinyi Zahera ameingia matatani baada ya mashabiki wa klabu hiyo kumtaka ajiuzuru baada ya kutopata …
-
Wakati kikosi cha timu ya Yanga kikitarajiwa kuwasili jijini humo leo ijumaa uongozi wa matawi ya timu hiyo jijini humo umewaandalia mapokezi ya kibabe mabingwa hao wa kihistoria nchini. Yanga …
-
Klabu ya Yanga imeshtakiwa katika kamati ya katiba,sheria na haki za wachezaji iliyopo ndani ya shirikisho la soka nchini kufuatia kushindwa kulipa madai ya wachezaji Pato Ngonyani,Matheo Anthony na Haji …
-
Mshambuliaji wa timu ya Polisi Tanzania Ditram Nchimbi ameongezwa katika kikosi cha wachezaji walioitwa na kocha Ettiene Ndayiragije kujiunga na kambi ya Taifa stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Rwanda …