Beki wa klabu ya Yanga sc Andrew Vicent “Dante” amegoma kujiunga na timu hiyo akishinikiza kulipwa fedha za usajili anazoidai timu hiyo. Beki huyo aliyejiunga na timu hiyo akitokea Mtibwa …
Yanga
-
-
Timu ya Yanga sc ipo njiani kwenda mkoani Kilimanjaro kuweka kambi ya muda kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana utakaofanyika mjini …
-
Beki kisiki wa Yanga sc Kelvin Yondani amerejea klabuni hapo na kujiunga na kambi ya mazoezi ya klabu hiyo huku akisisitiza kumaliziwa stahiki zake zote anazoidai klabu hiyo. Inasemekana beki …
-
Mambo yamezidi kumnyookea beki wa Yanga sc Paulo Godfrey “Boxer” baada ya jana kuvaa jezi ya timu ya taifa kwa mara ya kwanza huku pia ikidaiwa timu hiyo imemuongezea mshahara …
-
Simba sc tayari imeshamalizana na Mshambuliaji Ibrahim Ajibu na muda wowote anaweza kutambulishwa rasmi baada ya mkataba wake na Yanga sc kufika tamati hivi leo june 30. Inadaiwa kuwa iliwalazimu …
-
Mbunge na mshabiki wa Yanga Mwigulu Nchemba tayari amekamilisha ahadi yake aliyoitoa mbele ya hadhira siku ya tamasha la kuichangia klabu hiyo ‘Kubwa kuliko’ lililofanyika katikati ya mwezi mei mwaka …
-
Baada ya kukamilisha usajili wa mastaa wa kigeni,Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Msomi Dk.Mshindo Msolla sasa wameamua kugeukia usajili wa mastaa wa ndani ambao mikataba yao imeisha. Timu hiyo …
-
Mshambualiaji wa Azam fc Obrey Cholla Chirwa amejisalimisha klabuni hapo na kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja baada ya kuwazungusha viongozi wa klabu hiyo kwa muda mrefu bila sababu zisizoeleweka. …
-
Beki wa timu ya Kmc Ally Ally amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia timu ya Yanga sc leo hii jioni baada ya mkataba wake na timu ya Kmc kufikia …
-
Baada ya klabu ya Yanga Fc kumuuza mshambuliaji wake Heritier Ebenezer Makambo kwenda klabu ya Horoya Fc ya Guinnea basi mambo yameiva baada ya timu hiyo inayocheza ligi kuu na …