Inaelezwa kuwa kocha wa zamani wa Yanga sc Mzambia George Lwandamina ndio kikwazo cha mchezaji Geoffrey Mwashiuya kutosaini timu yeyote hapa nchini akilisikilizia simu ya kocha huyo ambaye anataka akajiunge …
Yanga
-
-
Kocha mkongomani wa Yanga Mwinyi Zahera amewashangaa viongozi wa timu hiyo kuanza mazungumzo na Mshambuliaji Ibrahim Ajib ili kuongeza mkataba wa kuitumikia klabu hiyo ya Jangwani baada ule wa awali …
-
Klabu ya Yanga inatarajiwa kumalizia kampeni yake ya kuichangia klabu hiyo iliyobatizwa “Kubwa kuliko” itakayofanyika 15 june katika ukumbi wa Diamond jubilee hall jijini Dar es salaam ambapo lengo kubwa …
-
Staa wa soka la Tanzania Ibrahim Ajib Migomba bado hajaeleweka wapi atakipiga msimu ujao baada ya kushindwa kufikia muafaka na matajiri wa kongo Tp Mazembe ambao iliaminika atajunga nao baada …
-
Klabu ya yanga ya jijini Dar es salaam imeripotiwa kukamilisha usajili wa wachezaji kumi mpaka sasa kutoka mataifa tofauti ya Afrika mashariki na Afrika magharibi.Wachezaji hao wanatajwa kuwa ni chaguo …
-
Klabu ya Yanga imeendelea na harakati za kuboresha kikosi chake ambapo baada ya kusajili mapro wa kigeni kadhaa sasa imegeukia wazawa pamoja na kuboresha benchi la ufundi.Katika maboresho haya klabu …
-
Baada ya kumuuza straika wake Heritier Makambo kwenda Guinea basi Yanga haijalala fasta inashusha straika matata kutoka nchini Nambia anayeitwa Sadney Ulikhob mwenye miaka 27 mzaliwa wa jiji maarufu la …
-
Golikipa kinda wa Yanga Ramadhani kabwili huenda akaachana na timu hiyo endapo mipango yake ya kucheza soka la kimataifa itakamilika.Kipa huyo namba mbili wa yanga amekua huru baada ya mkataba …
-
Timu ya Yanga Sc imepokea mwaliko kutoka shirikisho la soka la Afrika mashariki na kati (cecafa) kushiriki katika mashindano ya kombe la kagame kwa mwaka 2019 yatakayofanyika nchini Rwanda. Katika …
-
Timu ya Yanga imepata bahati ya kushiriki michuano ya klabu bingwa barani Afrika mwakani baada ya kumaliza nafasi ya pili ya ligi kuu bara.Timu hiyo itaungana na Simba katika michuano …