Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Kelvin Yondani yupo njiani kujiunga na klabu ya Kagera Sugar akitokea klabu ya Geita Gold Fc ambapo amedumu kwa takribani nusu msimu …
yondani
-
-
Beki wa timu ya Geita Gold Sports Kelvin Yondani amefungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya kiasi cha shilingi milioni moja kwa kosa la kumkanyaga mchezaji wa Yanga sc Fiston …
-
Beki Kelvin Yondani ametua katika klabu ya Polisi Tanzania kama mchezaji huru baada ya kuachana na Yanga sc msimu uliopita kutokana na kushindwana katika maslahi. Beki huyo mkongwe ametua Polisi …
-
Kocha wa zamani wa Yanga Sc, Mwinyi Zahera ametambulishwa rasmi Gwambina Fc kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo ambayo imepanda daraja msimu huu wa 2019/20 na itashiriki ligi kuu bara …
-
Viongozi wa Yanga wapo mtegoni kufuatia ripoti ya kocha Luc Eymael kumtaja Kelvin Yondani katika orodha ya mastaa ambao anaweza kuwatema ili kusajili vifaa vipya klabuni hapo. Licha ya ripoti …
-
Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema timu hiyo haiwezi kubembeleza mchezaji kwa kuwa anaamini hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu Eymael ametoa kauli hiyo kufuatia mkasa unaomkabili beki kisiki Kelvin …
-
Wachezaji Juma Abdul na Kelvin Yondani wamewasili kambini kujiunga na wenzao kujiandaa na mchezo dhidi ya Zesco Fc kuwania kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika. Wachezaji hao …
-
Kocha Mwinyi Zahera amewateua Papy Kabamba Tshitshimbi na Mrisho Ngasa kuwa manahodha wapya kuelekea msimu mpya wa ligi kuu na michuano ya kimataifa ambayo timu hiyo itashiriki. Zahera amefikia uamuzi …
-
Mabeki nguli wa klabu ya Yanga sc Kelvin Yondani,Vicent Andrew na Juma Abdul wamegomea kuhudhuria mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kambini mjini Morogoro wakishinikiza walipwe fedha zao wanazodai. Taarifa zaidi …
-
Mshambualiaji wa Yanga Amis Tambwe amemsihi kocha Mwinyi Zahera kumrejeshea unahodha beki Kelvin Yondani kutokana na ukongwe na uzoefu wa beki huyo aliyejiunga na Yanga toka mwaka 2012. Tambwe aliyetemwa …