Taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa klab ya Coastal Union ni kwamba uongozi wa klabu hiyo umefikia makubaliano rasmi ya kusitisha mkataba na kocha wao mkuu raia wa Congo DRC, …
Zahera
-
-
Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera amekamilisha dili la kujiunga na klabu ya Polisi Tanzania kwa mkataba wa miezi sita mpaka mwishoni mwa msimu huu wa …
-
Aliyekua kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera amechaguliwa kuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Congo Drc akimsadia kocha raia wa Argentina Hector Cuper baada …
-
Klabu za Namungo na Kmc zinawinda saini ya aliyekua kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera ili kuzinoa kwa msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara. Zahera …
-
Kocha mkuu wa Yanga Sc,Luc Eymael ameweka wazi katika kikosi chake cha msimu ujao hatosajili wachezaji wengi badala yake atafanya maboresho kidogo ya kuchukua wachezaji wachache ambao watakuja kuongeza nguvu …
-
Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imemfuta kazi kocha wake Mkuu Sebastian Desabre mwezi mmoja tu tangu imteue kushika nafasi hiyo. Tukio hilo limekuja baada ya Wydad kupoteza mchezo wake …
-
Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kumshusha kocha Luc Aymael raia wa ubeligiji kuja kuifundisha timu hiyo akichukua nafasi ya Mkongo Mwinyi Zahera aliyetimuliwa klabuni hapo. Kocha huyo anakuja kuchukua …
-
Kwa sasa ukizungumzia wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi cha Yanga hutaacha kutaja jina la kiunga mshambuliaji Deus Kaseke Tangu Mkwasa akabidhiwe majukumu ya kuinoa Yanga mapema mwezi huu, Kaseke amejihakikishia …
-
Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Kongo Mwinyi Zahera amerejea nchini kufuatilia stahiki zake katika klabu ya Yanga baada ya timu hiyo kuvunja mkataba na kocha huyo. Zahera alivunjiwa …
-
Kocha wa muda wa timu ya Yanga sc Bonifasi Mkwasa ameanza rasmi kuifundisha klabu hiyo akichukua nafasi ya kocha Mwinyi Zahera ambaye amesitishiwa mkataba wake na uongozi wa klabu hiyo. …