Baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Pamba fc katika mchezo wa kirafiki jijini Mwanza baadhi ya mashabiki jijini humo wameoneshwa kutofurahishwa na matokeo hayo huku pia kiwango cha …
Zahera
-
-
Licha ya kupigwa faini na bodi ya ligi baada ya kutovaa nadhifu,Kocha wa Yanga sc Mwinyi Zahera amefungiwa kutokaa katika benchi la timu hiyo katika mechi tatu mfululizo. Adhabu hiyo …
-
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amepigwa faini ya shilingi laki tano baada ya kuvaa mavazi yasiyo nadhifu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu shooting ambapo timu hiyo ilipoteza …
-
Kuna taarifa za chinichini zinadai klabu ya Yanga sc imempa mechi tatu kocha Mwinyi Zahera ili kuamua hatima yake endapo atashindwa kuipatia ushindi timu hiyo katika mechi hizo. Taarifa hizo …
-
Kutokana na usajili wa nguvu uliofanyika Jangwani kocha Mwinyi Zahera ameanza kupata mtihani wa kupanga wachezaji baada ya wengi kuonekana kupania kuingia kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Golini kiwango …
-
Kocha wa Yanga sc Mwinyi Zahera ameipa umuhimu mkubwa mechi ya ufunguzi ya ligi kuu dhidi ya Ruvu shooting itakayochezwa siku ya jumatano wiki hii huku akiachana na mipango yote …
-
Kocha wa Yanga sc Mwinyi Zahera ameshangazwa na tetesi za kutimuliwa klabuni hapo zinazosambaa kwa kasi hivi sasa kufuatia matokeo yasiyoridhisha ya timu hiyo katika mechi za kirafiki na za …
-
Beki kisiki wa Yanga sc Kelvin Yondani amerejea klabuni hapo na kujiunga na kambi ya mazoezi ya klabu hiyo huku akisisitiza kumaliziwa stahiki zake zote anazoidai klabu hiyo. Inasemekana beki …
-
Kocha wa timu ya Yanga sc Mkongomani Mwinyi Zahera ameweka bayani kuwa usajili wa mshambuliaji mpya wa klabu hiyo aliyetua jana usiku atachukua nafsi ya kipa Klaus Nkizi Kindoki atakayerudishwa …
-
Klabu ya Yanga sc imempokea Mshambuliaji David Moringa (Falcao) raia wa Kongo kuja kusaini mkataba wa kujiunga na klabu hiyo jana usiku katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K …