Kocha Mwinyi Zahera amewateua Papy Kabamba Tshitshimbi na Mrisho Ngasa kuwa manahodha wapya kuelekea msimu mpya wa ligi kuu na michuano ya kimataifa ambayo timu hiyo itashiriki. Zahera amefikia uamuzi …
Zahera
-
-
Baada ya maandalizi ya wiki tatu mkoani Morogoro, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam Ijumaa August 02 2019 siku mbili kabla ya siku ya kilele cha wiki …
-
Hatimaye kocha mkuu wa Yanga sc Mwinyi Zahera ametua nchini leo alfajiri akitokea nchini Ufaransa alipokua na mapumziko baada ya kutoka katika michuano ya Afcon na timu ya taifa ya …
-
Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea na Real Madrid Claud Makelele yupo mjini Kinshasa akikamilisha mazungumzo ya kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kongo kuchukua nafasi ya …
-
Mshambualiaji wa Yanga Amis Tambwe amemsihi kocha Mwinyi Zahera kumrejeshea unahodha beki Kelvin Yondani kutokana na ukongwe na uzoefu wa beki huyo aliyejiunga na Yanga toka mwaka 2012. Tambwe aliyetemwa …
-
Baada ya kukamilisha usajili wa mastaa wa kigeni,Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Msomi Dk.Mshindo Msolla sasa wameamua kugeukia usajili wa mastaa wa ndani ambao mikataba yao imeisha. Timu hiyo …
-
Mganda Emmanuel Okwi amesaidia timu yake ya taifa kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya Kongo inayonolewa na kocha wa Yanga sc Mwinyi Zahera ambaye anamsaidia Frolent …
-
Kiungo mtaalamu wa staili ya kampa kampa tena Thabani skala Kamusoko amuweka matatani kocha wa Timu ya Yanga Mwinyi Zahera kufuatia kuwemo katika orodha ya wachezaji watakaopewa mkono wa kwaheri …
-
Aliyekua kipa namba moja wa Yanga Benno Kakolanya amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba Sc akisaini kama mchezaji huru baada ya mkataba wake na klabu ya Yanga sc …
-
Kocha mkongomani wa Yanga Mwinyi Zahera amewashangaa viongozi wa timu hiyo kuanza mazungumzo na Mshambuliaji Ibrahim Ajib ili kuongeza mkataba wa kuitumikia klabu hiyo ya Jangwani baada ule wa awali …