Kocha wa zamani wa Yanga George Lwandamina ameteuliwa kuwa mshauri wa masuala ya ufundi wa timu ya taifa ya nchi hiyo uteuzi ambao umeanza rasmi baada ya kutangazwa. Kocha huyo …
zesco
-
-
Klabu ya Simba sc imeanza kutafuta mbadala wa wachezaji Cletous Chama na Jonas Mkude kufuatia wachezaji hao kuonyesha nidhamu mbovu katika kikosi hicho. Katika kuonyesha kuwa wako siriazi na suala …
-
Jezi za timu ya Yanga ambayo leo itatupa karata yake katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Zesco …
-
Unaweza kusema mji wa Ndola uliopo nchini Zambia umetikisika baada ya Yanga kutua kibabe mjini humo baada ya kubadili ratiba ghafra baada ya kufika mji wa lusaka nchini humo. Awali …
-
Kiungo wa Simba sc Cletous Chama amewaasa timu ya Yanga kuelekea mchezo wa marudiano wa kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Zesco United ya Zambia …
-
Kikosi cha Yanga sc jana kimepanda ndege kwenda nchini Zambia kucheza mchezo wa marudiano kuwania kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Zesco United ya Zambia …
-
Makinda wa Yanga Paulo Godfreyc”boxer” na Balama Mapinduzi wapo kwenye hatihati ya kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Zesco united ya Zambia baada ya kukumbwa na majeraha. Boxer aliumia katika …
-
Timu ya Yanga sc imeshindwa kuonyesha ubabe katika uwanja wa nyumbani baada ya kutoa sare ya 1-1 dhidi ya Zesco united mchezo wa kwanza ya kufuzu hatua ya makundi ya …
-
Kikosi cha timu ya Zesco Fc kimewasili nchini usiku kikitokea nchini Zambia kuja kucheza na Yanga sc mchezo wa raundi ya kwanza hatua ya kwanza kuwania kufuzu hatua makundi ya …
-
Hatimae baada ya kilio cha muda mrefu timu ya Yanga sc imekubaliwa ombi lake la kusogezwa kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya city fc ili kupisha mchezo wa …