Michuano ya Kombe la Mapinduzi inatarajiwa kuanza kutimua kivumbi, Desemba 28 mwaka huu kwenye Dimba la Amaan Zanzibar huku timu kumi na nne zikiwemo mbili za Tanzania bara zikitarajiwa kushiriki …
Tag:
Zfa
-
-
Timu ya Jang’ombe Boys ipo tayari kujitoa Ligi Kuu Zanzibar kutokana na ukata wa fedha, timu hiyo haijaanza hata mazoezi kwa sababu haina fedha za uendeshaji. Juni 24 ligi kuu …