Home Soka Nugaz,Bumbuli Rasmi Yanga

Nugaz,Bumbuli Rasmi Yanga

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Yanga imewatambulisha rasmi Antonio Nugas na Michael Bumbuli ambao ni maofisa wapya wa klabu hiyo wakiitumikia idara ya habari na mawasiliano ya klabu hiyo.

Nugaz aliyepata umaarufu kupitia kipindi cha kambi popote kinachorushwa na Clouds Tv huku Bumbuli akipata umaarufu kupitia gazeti la Mwanaspoti ambao alikua mwandishi wa makala mbalimbali za michezo.

Wote wawili wametambulishwa mbele ya waandishi wa habari huku Nugaz atakua anajihusisha zaidi na uhamasishaji na kutoa habari za klabu wakati Bumbuli akijikita zaidi katika kuratibu shughuli hizo za habari za klabu hiyo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited