Aucho Yupo Sana Yanga Sc
Yanga sc
-
-
Klabu ya Yanga Sc imekamilisha usajili wa winga wa Tabora United Offen Chikola kuelekea msimu ujao wa ligi kuu na michuano ya Kimataifa 2024-2025. Baada ya majadiliano ya pande mbili …
-
Mshambuliaji Kennedy Musonda amewaaga rasmi wanachama,wapenzi na Mashabiki wa klabu ya Yanga sc baada ya kumaliza mkataba wake na klabu hiyo huku kukiwa hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya kwa …
-
Kocha wa Yanga sc Miloud Hamdi amejiunga na timu ya Ismailia ya nchini Misri baada ya kumaliza mkataba na klabu hiyo ya Jangwani mwishoni mwa msimu huu wa ligi kuu …
-
Klabu ya Yanga sc ilianzishwa rasmi mwaka 1935 ikiwa kama klabu ya wanachama iliyokua na lengo la kujumuisha vijana wa kitanzania katika kushirikiana katika mambo mbalimbali ya kijamii lakini ilianzia …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua ubingwa wa kombe la shirikisho la Crdb nchini baada ya kuifunga timu ya Singida Black Stars kwa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Visiwani Zanzibar …
-
Yanga Sc Yatwaa Ubingwa Mbele ya Simba Sc
-
Simba Sc Yapotezea Mkutano na Wanahabari
-
Dube Kuikosa Derby
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Dodoma Jiji Fc baada ya kuifunga kwa mabao 5-0 katika …