Klabu ya Leicester city inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imefanya kufuru ya mwaka baada ya kuifunga timu ya Tottenham mabao 9-0 katika mchezo wa ligi kuu nchini humo uliofanyika jana ijumaa.
Kalamu ya mabao ya timu hiyo ilifunguliwa na Ben Chillwel dakika ya 10 ya mchezo kabla ya Ayoze Perez kufunga mabao matatu dakika za 19′,39′ na 57′ huku jamie Vardy nae akitupia hatrick dakika za 45′,58′ na 90+4 na kiungo anayehusudiwa na manchester united James Maddison akifunga dakika ya 85.
Southampton walipata pigo dakika ya 12 baada ya Ryan Bertland kuonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na kufanya timu hiyo kubakia na watu kumi uwanjani.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Ushindi huo umefikia rekodi iliyowekwa na Manchester united ya kushinda mabao 9-0 mwaka 1995 dhidi ya Ipswich Town.