Man City Mabingwa Epl
Klabu ya Manchester City imetwa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Westham Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Ettihad jijini Manchester. Man city ilihitaji ushindi tu ili kuchukua ubingwa huo huku Arsenal ikihitaji ushindi na kumuombea Man City apoteze…
