Home Soka Miraji Aibeba Simba

Miraji Aibeba Simba

by Sports Leo
0 comments

Licha ya kuwa na mastaa wa levo za juu kumzidi bado timu ya Simba sc imeendelea kufaidika na usajili wa Miraji Athuman baada ya jana kuisaidia timu hiyo kupata pointi tatu dhidi ya Singida United baada ya kufunga bao pekee la ushindi.

Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ulitawaliwa na pasi ndefu baada ya sehemu ya kuchezea ya uwanja kutokua nzuri kwa pasi fupi fupi

Sheva alifunga bao hilo dakika ya 42 na kufanya Simba kuibuka na pointi 18 baada ya kucheza michezo sita huku Singida wakiwa mkiani na pointi tatu baada ya kucheza mechi nane.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited