Kiungo wa klabu ya Simba Sc Mzamiru Yassin hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha Simba Sc kuelekea msimu ujao wa ligi kuu ya Nbc baada ya mkataba wake kuisha mwishoni …
simba sc
-
-
Kiungo mkabaji aliyemaliza mkataba wake katika klabu ya Simba Sc Fabrice Ngoma (31) anakaribia kujiunga na klabu ya Hassania d’Agadir kutoka Morocco muda wowote kuanzia sasa. Kiungo huyo mwenye uwezo …
-
Klabu ya Simba sc inaangalia namna ya kumsajili mlinzi wa kulia wa klabu ya Azam Fc, Lusajo Mwaikenda ambapo mpaka sasa wawakilishi wa beki huyo wamefanya mazungumzo na Simba sc …
-
250m Kumpata Yakoub wa Jkt Tanzania
-
Abel Mbioni Kutemwa Simba Sc
-
Simba Sc Yapotezea Mkutano na Wanahabari
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kuibuka na ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa Kmc Complex …
-
Klabu ya Kengold Fc imejikuta ikiambulia kichapo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba sc licha ya kuwa nyumbani katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora. Katika mchezo huo ambao …
-
Klabu ya Simba SC inafikiria kumrudisha tena golikipa Ayoub Lakred kurudi kuitumikia klabu hiyo kuelekea msimu ujao baada ya kutoridhishwa na kiwango cha kusuasua cha kipa Moussa Camara. Mpaka sasa …
-
Bodi ya ligi kuu nchini imetangaza kuusogeza mbele mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini baina ya Simba Sc na Yanga Sc mpaka juni 25 mwaka huu kwa …