Klabu ya Azam fc imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya timu ya biashara united katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Chamazi unaomilikiwa na klabu hiyo.
Iliwachukua Azam Fc dakika mbili kuandika bao la kwanza lililofungwa na Idd Nado kabla ya kuongeza bao jingine lililofungwa na Nicolas Wadada dakika ya 21 huku wageni wakipata bao la kufutia machozi dakika 32 Innocent Edwin.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.