Home Soka Morrison Kuikosa Azam Fc

Morrison Kuikosa Azam Fc

by Dennis Msotwa
0 comments

Uongozi wa klabu ya Simba sc umethibitisha kuwa, utamkosa winga wao Bernard Morrison 🇬🇭 kwenye mchezo unaofuata wa ligi kuu dhidi ya Azam fc utakaopigwa katika uwanja wa chamazi kesho.
Kwa mujibu wa uongozi wa Simba sc, Bernard Morrison yuko nchini Ghana 🇬🇭 kutokana na matatizo ya kifamilia hivyo ataikosa mechi hiyo huku kukiwa hakuna uthibitisho kama ataendelea kukosa na mechi ya watani wa jadi dhidi ya Yanga sc katika fainali ya kombe la shirikisho itakayofanyika julai 25 katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited