Klabu ya soka ya Azam imetambulishwa jezi rasmi zitakazotumiwa na timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa kwa msimu wa 2021/2022.
Azam Fc immezindua jezi za nyumbani,ugenini na zile za tatu Jezi za nyumbani zitakuwa ni za rangi nyeupi,za ugenini rangi ya bluu na zile za tatu rangi ya machungwal
Jewzi hizo zitaanza kuuzwa katika maduka ya timu hiyo na ya vifaa vya michezo kwa gharama ya Tsh 22,000 kwa jezi moja.
Â