Katika dimba la Borussia Park nyumbani kwa B.Monchenglad mechi yao kati ya Leverkusen inashuhudiwa na mshabiki bango 13,000 ambayo ni mabox yaliyochongwa kuwakilisha mashabaki kwenye viti ili kuisapoti klabu.
Hii ni kutokana na mashabiki kutopewa kibali maalum cha kuwawezesha kuhudhulia mechi hizo kutokana bado suala la afya linazingatiwa dhidi ya virusi vya Corona vilivyosababisha hata awali ligi zote kusimamishwa.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.