Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza kuvunjwa kwa kambi ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) iliyokuwa ikijiandaa na mashindano ya CHAN 2020.
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kusimamisha michezo hiyo na shule zote kufungwa kuanzia awali hadi kidato cha sita mapema leo mchana kwa muda wa siku 30.
Etieme Ndayiragije ambaye ni kocha mkuu wa Taifa Stars amethibitisha kuvunjwa kwa kambi hiyo hadi hali itakapokuwa Shwari.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
“Hakuna jinsi inabidi tujihadhari na virusi vya Corona kwani serikali imeshaamua na ugonjwa huu ni hatari sana kwa Afya zetu na dunia nzima kiujumla “alisema Etieme