Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)Etienne Ndayiragije amesema kuwa amekiandaa kikosi chake vizuri kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Afcon kesho Novemba 13 ,dhidi ya Tunisia …
corona
-
-
Wachezaji wa Juventus wote wamelazimika kujitenga kwa ridhaa baada ya kiungo wa timu hiyo,Weston McKennie kuthibitika kukutwa na Virusi vya Corona. Weston ambaye ndiye mchezaji wa pekee wa Juventus alijiunga …
-
Baba mzazi wa staa anayeichezea As Roma,Francesco Totti,Enzo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 baada yakupata shambulio la moyo miaka michache iliyopita huku akikumbwa na corona iliyomuweka katika …
-
Mshambuliaji wa Liverpool anayefanya vizuri kimataifa na ni raia wa Senegal, Sadio Mane amekutwa na Virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo. Liverpool imeweka wazi kuwepo kwa maambukizi hayo ya …
-
Kocha Mkuu wa West Ham United, David Moyes pamoja na wachezaji wawili wamekutwa na virusi vya Corona jana kabla ya kuanza raundi ya tatu ya mchezo wao wa Carabao Cup …
-
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amerejea katika mazoezi baada ya kuwa nje kutokana na kupata maambukizi ya virusi vya Corona. Pogba ana uwezekano mkubwa wa kutocheza mchezo wa kwanza …
-
Mshambuliaji wa Manchester United,Paul Pogba amekutwa na virusi vya Corona muda mfupi kabla ya msimu mpya wa ligi kuu England kuanza hivyo ameondolewa kwenye kikosi kwa ajili ya uangalizi. Pogba …
-
Kuanzia sasa timu za ligi kuu nchini England zimeruhusiwa kutumia wachezaji watano wa akiba badala ya watatu wa awali huku pia wachezaji tisa wakiruhusiwa kukaa katika benchi badala ya saba. …
-
Kitendo cha kurejea kwa baadhi ya Mastaa wa Klabu ya Simba sc waliokua nje ya nchi huku pia kocha wa timu ya Azam fc Aristica Cioaba kimemkasirisha kocha wa Yanga …
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Tamaduni na Michezo Dk.Hassan Abassi ameruhusu mashabiki kuingia uwanjani katika michezo ya ligi kuu Tanzania bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni 13. Licha ya …