Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf) limeamuru mchezo wa fainali ya pili ya kombe la Shirikisho barani Afrika baina ya klabu ya Simba Sc dhidi ya Rs Berkane kuchezwa katika …
caf
-
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuifunga klabu ya Al Masry kwa chamoto ya mikwaju ya …
-
Klabu za Al Ahly Fc ya Misri imeungana na klabu ya Mamelod Sundowns kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Afrika baada ya timu hizo kupata …
-
Shirikisho la Soka barani Afrika (caf) limeufungulia uwanja wa Benjamin Mkapa kutumika katika michezo ya hatua ya robo fainali na nusu fainali ya michuano iliyochini ya Shirikisho hilo baada ya …
-
Taarifa kutoka nchini Burundi zinasema klabu ya Yanga sc ipo katika hatua za mwisho kumalizana na winga wa nchi hiyo Jean Claude Girumugisha ambaye anakipiga katika klabu ya Al Hilal …
-
Msafara wa kikosi cha timu ya Simba sc kijatarajiwa kuondoka alfajiri ya kesho Machi 28 kuelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya …
-
Beki wa klabu ya Simba Sc Che Malone Fondoh anatarajiwa kuukosa mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Al Masry unaotarajiwa kufanyika nchini Misri Aprili 2 2025. Beki …
-
Klabu ya Simba Sc imewatangazia mashabiki wake walionunua tiketi kuelekea mchezo wao wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Cs Constantine watatumia tiketi hizo kwenye mchezo …
-
Timu ya soka ya Wanaume ya Tanzania (Taifa Stars) imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 dhidi ya Morocco baada ya kukubali kufungwa mabao 2-0 katika mchezo …
-
Kipa wa klabu ya Simba Sc Moussa Pinpin Camara ameanzia benchi katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia mwaka 2026 baina ya Taifa lake Guinea dhidi ya …