Nyota anayekipiga ndani ya Juventus, Christiano Ronaldo amepelekwa karantini kwa siku 14 wakati wachezaji wenzake wanaoshiriki Serie A wakiwa wamenaza mazoezi.
Hii ni baada ya mapema wiki nyota huyo aliporejea Italia kutoka kwao Ureno kwenye mapumziko baada ya ligi hiyo kusimamishwa kutokana na virusi vya Corona.