Kinda Aizamisha Wydad Ac World Cup
Kinda wa kituruki Kenan Yildiz alifunga mabao mawili ambapo akiongoza Juventus ikipata ushindi wa 4-1 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco katika Kombe la Dunia la Klabu (Club World Cup) Jumapili hii kuifanya klabu hiyo kukaribia kufuzu kwenye raundi ya 16. Timu hiyo ya Italia iko kwenye nafasi ya kwanza ya Kundi G kwa alama…
