Home Makala Dembele Achezeshwa Kwenye Chujio La Barcelona

Dembele Achezeshwa Kwenye Chujio La Barcelona

by Sports Leo
0 comments

Barcelona wapo tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya Ousmane Dembele ikiwa vilabu vya Ligi kuu ya Uingereza Arsenal na Manchester United vimeonesha nia ya kutaka kumnasa winga huyo.

Kwasasa  vilabu hivyo vinafanya uchunguzi kwanini Dembele amekuwa akiumia mara kwa mara .

Licha ya kwamba mara zote ujumbe wake umekuwa ni kutaka kuendelea kukupiga Camp Nou , Ousmane amekuwa akiulizia kuhusu maisha ndani ya miji mingine na  hivi karibuni Hispania aliwasiliana na Anthony Martial .

banner

Na kwa mujibu wa taarifa kutoka Hispania,Barca wapo tayari kumuuza winga huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 22 kwa dau la Pauni Milioni 43.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited