Home Makala Deni Laongezeka Man United

Deni Laongezeka Man United

by Sports Leo
0 comments

Manchester United wametangaza takwimu zao za kifedha kwa miezi mitatu ya kwanza ya 2020 ambayo imeonekana kuzua wasiwasi mkubwa huko Old Traord.

Klabu imekuwa na ongezeko la deni kwa 42% hadi pauni milioni 429.1 sawa na 1.2 Trilioni ikiwa ni ongezeko la pauni 123.7 kulinganisha na kipindi kama hiki mwaka uliopita.

Ongezeko la deni hilo ni kutokana na janga la virusi vya Corona vilivyoikumba Dunia hadi kusababisha ligi kusimama pia United kushiriki kwenye Ligi ya Europa badala ya Ligi ya Mabingwa.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited