Home Makala Dodoma Jiji Kuvaana Na Mbeya City Leo.

Dodoma Jiji Kuvaana Na Mbeya City Leo.

by Sports Leo
0 comments

Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo Octoba 16,ambapo Dodoma Jiji itawakaribisha Mbeya City uwanja wa Jamhuri Dodoma majira ya saa 10:00 kwa ajili ya kuzisaka pointi tatu muhimu.

Dodoma Jiji imekuwa na matokeo chanya uwanja wa nyumbani ambapo kwa sasa ipo nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi kuu bara na pointi 10 kibindoni baada ya kucheza mechi tano.

Mbeya City ambayo imekuwa kwenye mwendo wa kusuasua kwa msimu huu wa 2020/21 ipo nafasi ya 18 ikiwa na pointi moja baada ya kucheza mechi tano za ligi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited