Home Makala Feisal Hauzwi-Ibwe

Feisal Hauzwi-Ibwe

by Dennis Msotwa
0 comments

Afisa Habari wa Azam Fc Hasheem Ibwe ameeleza kuwa Kiungo wao Feisal Salum (Fei Toto) hauziwi na kinachoendelea kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni “mind game” kujaribu kuwatoa Azam mchezoni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakao pigwa Jumapili Oktoba 22, 2023 kwenye Dimba la Azam Complex.

Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kumekua na taarifa za kiungo huyo kuhitajika kunako klabu ya Simba sc kwa dau linalokadiriwa kufikia kiasi cha shilingi milioni mia sita ili ajiunge na klabu hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo huo alisema kuwa staa huyo hauzwi kwa sasa ““Hakuna ofa yoyote iliyokuja ya kumtaka Fei Toto na Fei kwa sasa hauzwi”.

banner

Yanga sc na Azam Fc zitakutana siku ya Jumapili katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc utakaofanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es salaam.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited