Home Makala Kaze Njiani Kutua Bongo Leo

Kaze Njiani Kutua Bongo Leo

by Sports Leo
0 comments

Cedric Kaze yuko njiani kutua Tanzania leo Octoba 15,kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya ndani ya kikosi hicho cha Yanga Sc.

Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amethibitisha ujio wa Kocha huyo ambaye mapema leo alikuwa jijini Amsterdam Uholanzi, kwaajili ya kubadilisha ndege ya kumleta Tanzania.

Kocha huyo anayetarajiwa kutua majira ya saa nne usiku leo kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere anakuja kubeba mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye alifungashiwa virago Oktoba 3 baada ya kumaliza mchezo dhidi ya Coastal Union.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited