kaze

Kaze Kutua Kaizer Chiefs

Kocha wa zamani wa klabu za Yanga sc na Namungo Fc Cedrick Kaze amepata ofa ya kujiunga na timu ya Kaizer Chiefs kama kocha msaidizi wa Nasredine Nabi aliyefanya nae kazi katika klabu ya Yanga sc. Kaze amepata dili hilo baada ya kuhitajika na kocha mkuu Nabi na sasa wameshakubaliana kila kitu na mabosi wa…

Soma Zaidi
kaze

Kaze Abwaga Manyanga Namungo Fc

Kocha mkuu wa klabu ya Namungo Cedric Kaze ametangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo ya Kusini mwa Tanzania bila kuweka wazi sababu hasa za kujiuzuru ukocha mkuu wa klabu hiyo pendwa kusini mwa Tanzania. Hata hiyo pamoja na kutotaja sababu rasmi za kujiuzuru kwake lakini tayari inafahamika kuwa kocha huyo alikua na wakati mgumu klabuni hapo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks