Mlinda mlango wa manchester United ,David De Gea anatazamiwa kupigwa bei ili kuiongezea mkwanja timu yake katika usajili utakaofanywa msimu huu.
Uongozi huo umeamua kutaka kumuuza De Gea kutokana na makosa ya mara kwa mara aliyokuwa akiyafanya ndani ya timu na kuigharimu timu yake kupata matokeo mabovu.
Kutokana na mkataba wake kukaribia kumeguka 2023 Juventus na PSG zimepewa nafasi ya kuinasa saini ya nyota huyo wa Manchester United.