Baada ya kubainika kuwa makipa wote wa Ukraine 1 hadi namba 3 wana Corona katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kati ya Ufaransa na Ukraine siku ya jana Octoba 7,2020 kocha wao msaidizi ambaye aliwahi kuchezea nafasi ya golikipa,Oleksandr Shovkovskiy aliamua kucheza kama kipa.
Kwakuwa ilikuwa sio mchezo wa kuhairishwa kocha huyo wa Ukraine alijikuta akipokea kichapo cha mabao 7-1 ambapo bao lao la kufutia machozi lilifungwa na Viktor Tsygankov dakika ya 53.
Kichapo hicho ndicho kinono zaidi wa timu hiyo ya Taifa cha Ukraine kuwahi kupokezwa katika historia yao.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.