Home Makala Ligi Kuu Uingereza Kurejea Juni Mosi

Ligi Kuu Uingereza Kurejea Juni Mosi

by Sports Leo
0 comments

Serikali ya Uingereza imetoa ruksa kurejea kwa ligi hiyo na matukio yote ya kimichezo kuanzia mwezi June 1, ila pasipo kuwa na mashabaki ili kuangalia kwanza taratibu za afya kwani bado Corona ipo.

Serikali nchini humo ilisimamisha shughuli zote za kimichezo kutokana na janga la Corona lililoikumba Dunia mwezi Machi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited