Home Makala Liverpool Wakosa Taji Ngao Ya Jamii

Liverpool Wakosa Taji Ngao Ya Jamii

by Sports Leo
0 comments

Nahodha wa kikosi cha Arsenal,Pierre Emerick Aubameyang ameiongoza timu yake kutwaa mataji mawili muhimu mfululizo kwa msimu wa 2019/2020 ambayo ni kombe la FA na ngao ya jamii lililopatikana kwenye mchezo wa jana kwa kushinda kwa penalti 5-4 mbele ya Liverpool.

Aubameyang alianza kupachika bao lake dakika ya 12 na lilipanguliwa na mchezaji wa Liverpool,Takumi Minamino dakika ya 73.

Sare hiyo iliwafanya wafikishane kwenye hatua ya penalti ambapo Arsenal ilishinda kwa mabao 5-4 na kunyakua taji la ngao ya jamii na kwaacha mabingwa hao wa England,Liverpool midomo wazi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited