Ukweli Kuhusu Mo Salah Kwenda Fenerbahce: Wakala wa Nyota huyo wa Liverpool Avunja Ukimya - sportsleo.co.tz

Ukweli Kuhusu Mo Salah Kwenda Fenerbahce: Wakala wa Nyota huyo wa Liverpool Avunja Ukimya

Katika ulimwengu wa soka, majira ya usajili yanapokaribia, uvumi huwa mwingi kuliko hata nyasi zilizopo uwanjani. Moja ya habari ambazo zimekuwa zikiteka vichwa vya habari barani Ulaya na Afrika ni uwezekano wa mshambuliaji wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah, kuondoka Anfield. Hata hivyo, habari mpya na ya kushtua zaidi imekuwa ni kuhusu uwezekano wa Mo Salah…

Soma Zaidi
Liverpool Warudi Kwa Kasi UEFA: Alama za Wachezaji baada ya Kuichapa Frankfurt 5-1 | Szoboszlai Ametisha! | sportsleo.co.tz

Liverpool Warudi Kwa Kasi UEFA: Alama za Wachezaji baada ya Kuichapa Frankfurt 5-1 | Szoboszlai Ametisha!

Liverpool Warudi Kwa Kasi UEFA Kama wewe ni shabiki wa Liverpool, basi ni lazima ulikuwa umevaa barakoa ya wasiwasi kufuatia mfululizo wa matokeo ya kuvunja moyo hivi karibuni. Lakini, katika usiku mmoja wa kishindo huko Ujerumani, Vijana wa Anfield wameonyesha walicho nacho. Ushindi mkubwa wa 5-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt katika Ligi ya Mabingwa Ulaya…

Soma Zaidi
Estevao aipa ushindi Chelsea dhidi ya Liverpool | Sportsleo.co.tz

Estevao aipa ushindi Chelsea dhidi ya Liverpool

Estevao aipa ushindi Chelsea dhidi ya Liverpool: Tathmini Kamili ya Wachezaji wa  Chelsea Siku ya soka la kusisimua ilishuhudia Chelsea ikiibuka kidedea na ushindi muhimu wa 2-1 dhidi ya Liverpool, na kuendeleza hali ya sintofahamu kwa mabingwa hao wa Premier League. Mchezo huu ulikuwa ni wa mvutano mkali, lakini malengo yaliyofungwa katika kila nusu ya…

Soma Zaidi
Vilabu Vikubwa Ulaya Vyenye Mashabiki Wengi Africa | sportsleo.co.tz

Vilabu Vikubwa Ulaya Vyenye Mashabiki Wengi Africa

Vilabu Vikubwa Ulaya Vyenye Mashabiki Wengi Africa Manchester United: Gwiji wa Kudumu Manchester United ni miongoni mwa vilabu vinavyoongoza kwa mashabiki wengi barani Afrika. Umaarufu wao unatokana na mafanikio ya kihistoria chini ya kocha mashuhuri, Sir Alex Ferguson. Enzi za akina David Beckham, Cristiano Ronaldo, na Ryan Giggs ziliwateka mashabiki wengi wa rika zote. Licha…

Soma Zaidi
CHELSEA SHANGWE LIVERPOOL AFA UTURUKI UEFA | sportsleo.co.tz

CHELSEA SHANGWE LIVERPOOL AFA UTURUKI UEFA

Chelsea shangwe liverpool afa uturuki UEFA: Upande Mmoja Wakicheka kwa Ushindi wa Kimkakati Klabu ya Chelsea ilifanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza kabisa katika kampeni za Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2025/26 kwa kuichapa Benfica kwa bao 1-0. Mchezo huu ulikuwa wa kipekee kwa sababu ulimrudisha Jose Mourinho, “The Special One”, uwanjani Stamford Bridge,…

Soma Zaidi
tetesi za usajili ulaya 2025 - sportsleo.co.tz

Tetesi za Usajili Barani Ulaya 2025

Mwezi Julai umekuwa na matukio mengi ya kusisimua tangu kufunguliwa kwa dirisha hili la usajili, tetesi za usajili barani ulaya 2025 zinapamba moto kila siku zinaibuka taarifa mpya zinazohusu wachezaji maarufu na vilabu vikubwa. Zikichochea mjadala na matumaini miongoni mwa mashabiki. Tumeona baadhi ya vilabu vikiweka ofa za kuvutia, huku wachezaji wakianza kujiandaa kwa sura…

Soma Zaidi
1 GettyImages 2091883060

Man Utd Yaipiga Liverpool

Klabu ya Manchester United i8mefanikiwa kupata ushindi wa   kibabe sana katika  moja ya mechi ngumu  kwenye Kombe la FA baada ya kuifunga  Liverpool Fc kwa mabao 4-3 katika mchezo uliochezwa kwa dakika 90 na 30mza nyongezauliofanyika katika  uwanja wa Old Trafford jijini Manchester. Man Utd chini ya kocha mdachi  Erik ten Hag ilianza kupata  bao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks