Lyon wamepanga kukata rufaa ya kupinga maamuzi ya kuhitimishwa kwa Ligue 1 mapema kitu ambacho kimeifanya klabu hiyo kushindwa kufuzu mashindano ya Ulaya (European Football) kwa mara ya kwwnza tangu mwaka 1997 .
Timu zilizofuzu mashindano ya ligi ya mabingwa (champion league) ni PSG, Marseille, na Rennes huku zilizofuzu kucheza ligi ya mabingwa ulaya (Eaurope League) ni lille,Reims na Nice.
Katika msimamo wa ligi kuu ya ufaransa Lyon ipo nafasi ya 7 ikiwa na pointi 40 kibindoni katika mechi 28 alizocheza kabla ya kusimamishwa na serikali ili kupambana na maambukizi ya corona.