Juventus wameinamishwa kichwa chini baada ya kufungwa bao 1-0 na Lyon katika mchezo uliosimamiwa na refa Jesus Gil kutoka Spain katika uwanja wa Groupama Stadium.
Bao la ushindi wa kipekee kutoka Lyon lililodumu hadi dakika 90 za mchezo lilifungwa kupitia Lucas Tousart dakika ya 31.
Lyon hawakuachwa nyuma kupewa kadi ya njano kwa wachezaji wake wawili ambao ni Marcelo dakika ya 28 na dakika ya 61 Maxwel Cornet huku Juventus wakiwa wameponea chupuchupu.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.