Home Makala Mabosi Wa Sweden Wammezea Mate Zlatan

Mabosi Wa Sweden Wammezea Mate Zlatan

by Sports Leo
0 comments

Nyota anayekipiga ndani ya klabu ya AC Milan,Zlatan Ibrahimovic amewekwa kwenye rada za Hammarby ya nchini Sweden ambayo inataka saini yake pindi akimalizana na timu yake ya sasa.

Mkataba wa Zlatan na mabosi wake wa AC Milan unakaribia kuisha mwishoni mwa msimu huu kwani alisaini kandarasi ya miezi sita pekee jambo linalowapa matumaini mabosi hao wa Hammarby.

Zlatan raia wa Sweden amecheza mechi 10 na kutupia mabao manne pia hapo awali  aliwahi kukipiga ndani ya Barcelona,  Manchester United,  Ajax, PSG na LA Galaxy.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited