Manchester United wamekuwa na imani kubwa baada ya kumsajili fowadi wa zamani wa PSG,Edinson Cavani bila ada yoyote siku ya jana kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
Cavani aliyeondoka mwishoni Juni ndani ya PSG baada ya kandarasi yake kumalizika alitia saini ya mkataba mmoja kambini United Octoba 5,2020.
Kutua kwa Cavani ndani ya Old Trafford kunampa imani kocha mkuu wa klabu hiyo,Ole Gunnar Solskajaer kuwa ataimarishasafu ya mbele ya Man-United ambayo imekuwa ikiongozwa na washambuliaji chipukizi,Marcus Rashford,Antony Martial na Mason Green.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Mchuano wake wa kwanza kambini mwa United huwenda ukamkutanisha na waajili wake PSG katika uwanja wa Parc de Princes,Ufaransa