Home Makala Messi Atabiriwa Mema Na Pochettino

Messi Atabiriwa Mema Na Pochettino

by Sports Leo
0 comments

Kocha wa zamani wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochettino  anatamani kuona siku moja anarejea katika klabu ya Newell’s Old Boys  akiwa na staa wa Barceona,Lionel Messi.

Kama ambavyo Messi  ameanzia soka katika klabu ya Newell’s Old Boys, Pochettino ambaye ni raia wa Argentina naye aliwahi kuichezea klabu hiyo.

Matumaini ya Pochettiino ni  kuona siku moja anarejea katika klabu ya Newell’s Old Boys , lakini pia anaamini kuwa  Messi atacheza hata kombe la dunia lijalo.

banner

“Messi atacheza kombe la dunia Qatar 2022 na  atafanya vizuri bila kujali umri wake atapambana tu, unajua uwepo wake ndani ya timu ni kitu kikubwa sana ataipambania tu Argentina kwenye michuano hiyo”alisema Pochettino

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited