Home Makala Mo Salah Asababisha Shabiki Kufungiwa

Mo Salah Asababisha Shabiki Kufungiwa

by Sports Leo
0 comments

Westham United ya nchini England leo Octoba 15,imetangaza kumfungia kwa miaka mitatu kuingia uwanjani shabiki wake,Bradley Thumwood kwa kosa la kumbagua Mohammed Salah wa liverpool katika mchezo uliofanyika February 2019 dhidi yao.

Bradley alinaswa na camera akitamka maneno ya kumbagua  na kumdhihaki Mo Salah kwa kutumia dini yake huku akimtukania dini anayoisalia ambayo ni ya kiislam.

Ubaguzi wa aina yoyote ndani ya ligi  haukubaliki iwe ndani au nje ya soka ni kitu ambacho kinapigwa vita sana kwani inaleta mfadhaiko mkubwa kwa mtu anayefanyiwa kitendo hicho au timu yoyote.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited